MSICHANA ALIYESHIKA NAFASI YA KWANZA KWA WASICHANA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2020 AFUNGUKA


Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Canossa aliyeshika nafasi ya kwanza kwa wasichana katika mtihani wa kidato cha nne mwaka 2020 Justina Gerald (15) amesema anataka kuwa mhandisi wa mafuta.

Mbali na kuwa wa kwanza kwa wasichana katika mtihani huo, Justine aliyesema siri ya kufaulu ni kumtanguliza Mungu na kuweka malengo katika masomo, ameshika nafasi ya pili katika orodha ya wanafunzi 10 bora kitaifa.

“Nataka kuwa mhandisi wa mafuta ya petroli kwa sababu nchi zinazoendelea kama Tanzania ndiyo zinategemea kukuza uchumi wake,” amesema Justina.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post