
Ninakualika kutazama Video Mpya kabisa mwaka 2021 kutoka kwa Msanii Yobat amemshirikisha Bhudagala Ng'wana Malonja na Shija Kadoke wimbo unaitwa Kelele.Video hii imetengenezwa Makula Studios..Ni ngoma yenye ujumbe safi unaozungumzia kiujumla maisha ya jamii inayotuzunguka.
Tazama hapa chini

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako