WAZIRI WA MALIASILI DKT NDUMBARO AMPOKEA DREW BINSKY MWENYE WAFUASI ZAIDI YA MILIONI 30 KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

Mh Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Damas Ndumbaro akiteta jambo na Drew Binsky wakati alipokwenda kumpokea uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere, Dar es salaam, Tanzania tarehe 27 Disemba 2020. Bw Drew ambaye anawafuasi zaidi ya 30 milioni kwenye mitandao ya kijamii na mkewe Diana wanatembelea vivutio vya utalii Tanzania.

Mh Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Damas Ndumbaro kushoto akimpokea Drew Binsky, uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere, Dar es salaam, Tanzania tarehe 27 Disemba 2020. Bw Drew ambaye anawafuasi zaidi ya 30 milioni kwenye mitandao ya kijamii na mkewe Diana wanatembelea vivutio vya utalii Tanzania.
Mh Waziri wa Maliasili na Utalii akimuonyesha kitu  Drew Binsky, uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere, Dar es salaam, Tanzania tarehe 27 Disemba 2020 wakati alipompokea leo. 

Bw Drew ambaye anawafuasi zaidi ya 30 milioni kwenye mitandao ya kijamii na mkewe Diana wanatembelea vivutio vya utalii Tanzania.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post