MAALIM SEIF AAPISHWA KUWA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, December 8, 2020

MAALIM SEIF AAPISHWA KUWA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR

  Malunde       Tuesday, December 8, 2020

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi, amemuapisha, Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamu wa Kwanza wa rais kutoka Chama cha upinzani cha ACT-Wazalendo.


Hafla ya uapishwaji imefanyika leo Desemba 8, Ikulu Zanzibar.

Hii inakuwa ni mara ya pili kwa kiongozi huyo mkongwe kushika wadhfa huo kwani mwaka 2010 hadi 2015. Wakati wa uongozi wa Dk. Ali Mohammed Shein, alihudumu kwenye nafasi hiyo na sasa anahudumu kwenye serikali ya Nane chini ya Dk. Mwinyi.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post