JE UNA MAEMBE??.... CHANGAMKIA FURSA HII KUTOKA JAMBO!!

#FURSA
Tunanunua Maembe Boribo yaliyokomaa kwa Bei nzuri kuanzia tani 15 hadi tani 30.
Kama unayo fika ofisini kwetu Mjini Shinyanga.

Pia waweza kuwasiliana nasi kwa namba zetu  zilizoainishwa katika Tangazo.

JAMUKAYA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post