TIGO YAZIDI KUWAJAZA ZAWADI WATEJA WAKE MSIMU HUU WA SIKUKUU

Mawakala wakuu wa Tigo wameshinda zawadi kutoka Tigo kupitia kampeni maalum kwa mawakala #WajazeTukujazeTena. Wamewajaza wateja huduma vyema na sasa Tigo imewajaza zawadi. 
Mawakala wakuu wa Tigo wameshinda zawadi kutoka Tigo kupitia kampeni maalum kwa mawakala #WajazeTukujazeTena. Wamewajaza wateja huduma vyema na sasa Tigo imewajaza zawadi. 
NIMESHINDA SMART TV KWA KUNUNUA Itel T20 TU: Agness John (Dar es salaam) akabidhiwa zawadi ya Smart Tv baada ya kununua simu kutoka Tigo kupitia kampeni ya #JazaTukujazeTena Hata ukinunua simu! Kupitia hii ukinunua simu na kulipa kwa Tigo pesa unapata GB 30 za internet kutumia hadi mwaka mzima! Na kubwa zaidi nafasi ya kushinda Smart Tv pamoja na Piki piki.Tembelea maduka ya Tigo nchi nzima. Wewe ndiye mshindi unayefuata. Agness John (Dar es salaam)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post