TANDAU AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA WANA OLIMPIKI TANZANIA (TOA) | MALUNDE 1 BLOG

Friday, December 11, 2020

TANDAU AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA WANA OLIMPIKI TANZANIA (TOA)

  Malunde       Friday, December 11, 2020

Makamu wa Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Henry Tandau akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wana Olimpiki Tanzania (TOA), katika ukumbi wa Dodoma Hotel, jijini Dodoma leo Desemba 10, 2020. Tandau alikuwa mgeni rasmi katika mkutano huo ambapo wajumbe TOA watashiriki kuchagua viongozi wao wapya. Kushoto ni Rais wa TOA, Gidamis Shahanga na kulia ni Katibu Mkuu wa TOA, Mwinga Mwanjala. Picha na Richard Mwaikenda
Rais wa Chama Cha Wana Olimpiki Tanzania (TOA), Gidamis Shahanga akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Makamu wa Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Tandau kufungua mkutano mkuu wa TOA.
Baadhi ya wajumbe wakiwa katika mkutano huo
Viongozi wa TOC na TOA wakiwa katika picha za pamoja na wajumbe wa mkutano mkuu wa TOA.

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post