UONGOZI WA MALUNDE 1 BLOG UNAWATAKIA WASOMAJI & WADAU WAKE HERI YA MWAKA MPYA 2021


Tunawashukuru sana wasomaji na wadau wa Malunde.com kwa ushirikiano mkubwa mliotuonesha katika mwaka 2020 na kuifanya Malunde 1 blog kuwa Blog Bora yenye kuaminika kwa habari na matukio ikiwa na watembeleaji zaidi ya Milioni 49 na Laki 7 hadi kufikia Desemba 31,2020.

Tunawaomba  ushirikiano zaidi katika mwaka 2021 na tunaahidi kuboresha zaidi huduma zetu ili wasomaji na wadau wetu waendelee kufurahia ulimwengu wa Digitali kwa kupata habari na matukio kiganjani mwao kwa wakati muafaka kupitia https://www.malunde.com/ na Aplikesheni ya Malunde 1 blog inayopatikana Google Play/ Play store. Pakua <Hapa> au mitandao yetu ya  Kijamii ikiwemo Twitter, Facebook na Instagram

Ili kuboresha zaidi huduma zetu tutumie ushauri,maoni kupitia Email : malundekadama@yahoo.com Phone/WhatsApp +255 757 478 553 ,+255 625 918 527.

Tunaomba Mtusamehe  kama tuliwakwaza kwa chochote mwaka 2020 na Tunawatakia kila lililo jema  na mkatimize mipango mliyopanga kuifanya mwaka 2021....Mungu awabariki sana.

Uongozi Malunde Media


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post