WASHINDI KAMPENI YA CHANJA KIJANJA NA EXIM MASTERCARD WAENDELEA KUJINYAKULIA ZAWADI


Meneja Mwandamizi wa benki ya Exim Zanzibar Bw Mwinyimkuu Ngalima (kushoto) akikabidhi zawadi ya simu kwa mmoja wa washindi wa wiki wa kampeni ya 'Chanja Kijanja na Exim MasterCard' ya benki hiyo Bi Amani Makungu wa Zanzibar. Pamoja na zawadi nyingine washindi wa kampeni hiyo watajipatia zawadi mbalimbali ikiwemo pesa taslimu za ada ya shule kwa mtoto pamoja na vifaa vyote vya shule sambamba na safari za kwenda Serengeti na Zanzibar wakiwa na wenza wao huku kila kitu kikiwa kimelipiwa.
Afisa Mwandamizi Huduma kwa wateja benki ya Exim Bi Farida Chambo (kushoto) akikabidhi zawadi ya simu kwa mmoja wa washindi wa wiki wa kampeni ya 'Chanja Kijanja na Exim MasterCard' ya benki hiyo Bw. Krushant Buhecha wa jijini Dar es Salaam. Pamoja na zawadi nyingine washindi wa kampeni hiyo watajipatia zawadi mbalimbali ikiwemo pesa taslimu za ada ya shule kwa mtoto pamoja na vifaa vyote vya shule sambamba na safari za kwenda Serengeti na Zanzibar wakiwa na wenza wao huku kila kitu kikiwa kimelipiwa.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments