Rais wa Tanzania John Magufuli amempongeza Rais mteule Joe Biden na aliyekuwa mgombea mwenza Kamala Harris kwa ushindi walioupata katika uchaguzi mkuu wa Marekani.
Katika Ukurasa wake wa Twitter Rais Magufuli amesemea anawahakikishia wawili hao kuwa Tanzania itaendelea kutunza uhusiano uliopo kati ya nchi hizo mbili.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako