RAIS MAGUFULI AMUAPISHA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA | MALUNDE 1 BLOG

Monday, November 16, 2020

RAIS MAGUFULI AMUAPISHA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

  Malunde       Monday, November 16, 2020


 Rais  Magufuli amemuapisha Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya kuteuliwa Novemba 12, 2020 na kuthibitishwa na wabunge ambao walipiga kura ya ndiyo  kwa asilimia 100.

Pia amewaapisha Dk Philip Mpango kuwa Waziri wa Fedha na Mipango na Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki.

Hafla hiyo ya kuwaapisha wasaidizi wake hao imefanyika leo Novemba 16, 2020, Ikulu Chamwino jijini Dodoma huku ikihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali na wastaafu.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post