TIMU YA BURUNDI YAWASILI NCHINI KUIKABILI TAIFA STARS OKTOBA 11

 Timu ya Taifa ya Burundi tayari imewasili nchini  kamili kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa ulio kwenye kalenda ya FIFA.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 11, Uwanja wa Mkapa na unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na timu zote mbili kuwa na wachezaji wazuri.

 Pia ndani ya timu ya Burundi kuna wachezaji ambao wanacheza Ligi Kuu Bara jambo ambalo linaongeza ushindani kwa kuwa wanatambua soka la  Tanzania lilivyo

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments