JPM KUKIWASHA UBUNGO DAR KESHO

 

Ubungo eeee tumefika baba. Baada ya Kukiwasha Temeke na Kinyerezi Sasa ni Zamu ya Ubungo. Ni Jumanne hii ya Oktoba 13,2020 ndani ya Viwanja Vya Barafu, Mburahati, Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli atakuwepo Viwanja hivyo kuendelea Kunadi Ilani ya CCM na Kueleza yote yanayoenda Kufanyika Miaka mitano ijayo baada ya Kazi Kubwa kufanyika miaka mitano hii. Mshtue Mwenzako amshitue mwenzie kwamba Chuma JPM ameingia Ubungo. Ewe Mama, Ewe baba usikose.

#KuraKwaMagufuli2020 #T2020JPM

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post