IRAMBA YAJIPANGA KUANZA KUZALISHA KOROSHO KWA TIJA

 


Mratibu wa zao la Korosho Kitaifa, Dkt. .Geradina Mzena akizungumza wakati wa hafla ya kufungua mafunzo ya Kilimo Bora cha Korosho kwa kwa Maafisa Ugani na Wakulima wa Wilaya ya Iramba jana.

Mratibu wa zao la Korosho Kitaifa, Dkt. Geradina Mzena akisisitiza faida za kulima zao hilo alipokutana na wakulima na maafisa ugani wa Wilaya ya Iramba jana, kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Wilaya hiyo Emmanuel Luhahula (wa pili kushoto) kufungua mafunzo ya Kilimo Bora cha Korosho. Wengine pichani ni DAICO Iramba, Marietha Kasongo na DAICO Mkalama, Seleman Musunga.

Wakulima na Maafisa Ugani wakifuatilia mada mbalimbali zinazowasilishwa.
Mafunzo ya Agronomia ya Korosho yakiendelea.
 Mafunzo ya Upimaji Shamba la Korosho kwa vipimo stahiki ili kupata mavuno yenye tija yakifanyika.

Mafunzo yakiendelea.

Mafunzo ya Upimaji Shamba la Korosho kwa vipimo stahiki ili kupata mavuno yenye tija yakifanyika.

Mafunzo yakiendelea.
Afisa Kilimo Wilaya ya Iramba, Marietha Kasongo (aliyechuchumaa) akiweka alama kuhakikisha mstari.

Mafunzo yakiendelea.

Mafunzo ya namna bora ya kupogolea mkorosho.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments