Angalia Picha : MATUKIO YALIYOJIRI WAKATI MGOMBEA URAIS DK. MAGUFULI AKIELEKEA TANGA AKISHUSHA NONDO ZA CCM | MALUNDE 1 BLOG

Monday, October 19, 2020

Angalia Picha : MATUKIO YALIYOJIRI WAKATI MGOMBEA URAIS DK. MAGUFULI AKIELEKEA TANGA AKISHUSHA NONDO ZA CCM

  Malunde       Monday, October 19, 2020
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ameendelea tena leo Oktoba 19 kukutana na Wananchi kunadi Sera adhimu za CCM na ameshafanya Mikutano mingi Sana kuanzia Mkutano Mkubwa wa Bagamoyo na Yote aliyosimama njiani Kusalimia mamia ya Watanzania waliosimama njiani Kumlaki na Kumsalimia. Haya ndiyo Yaliyojiri kwenye Mikutano yote ya Leo ya Mgombea huyo wa Urais wa CCM. Shujaa wa Afrika, Mbeba maono, Mchamungu, Mtetezi wa Rasilimali za Taifa na Rais wa Wote na Wanyonge.

#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post