MGOMBEA MWENZA MAMA SAMIA SULUHU AMWAGA SERA ZA CCM CHUNYA MBEYA...AOMBA KURA ZOTE ZIENDE CCM | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, October 15, 2020

MGOMBEA MWENZA MAMA SAMIA SULUHU AMWAGA SERA ZA CCM CHUNYA MBEYA...AOMBA KURA ZOTE ZIENDE CCM

  Malunde       Thursday, October 15, 2020

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa CCM Mama Samia Suluhu Hassan Leo Oktoba 15, 2020 ameunguruma Wilayani Chunya Mkoani Mbeya Kwenye Mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni ya Kunadi Sera na Ilani bora na ya Maendeleo ya CCM. Mama anaongea na Watanzania kutoa kura Zote kwa CCM na kuacha kabisa kuchanganya mambo kuchagua wapinga maendeleo.
#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM 


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post