Picha : MAGUFULI AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI WA UBUNGO NA KIBAMBA AKIOMBA KURA HUKU MVUA IKINYESHA DAR

  Mgombea UIrais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea ubunge wa Ubungo Profesa Kitila Mkumbo na Issa Mtemvu wa Kibamba mbele ya maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo Uwanja wa Barafu wa Mburahati katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13, 2020

Mgombea UIrais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea udiwani mbele ya maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo Uwanja wa Barafu wa Mburahati katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13, 2020
Mgombea UIrais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Barafu wa Mburahati tayari kuhutubia maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13, 2020
    Mgombea UIrais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo Uwanja wa Barafu wa Mburahati katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13, 2020
 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments