TANZANIA YAONDOA MARUFUKU YA SAFARI ZA NDEGE ZA KENYA KUINGIA HAPA NCHINI

Tanzania imeondoa marufuku ya safari za ndege za Kenya kuingia kwenye anga lake iliyokuwa imeiweka  baada ya nchi ya Kenya kuondoa sharti la kuwaweka karantini siku 14 Watanzania wote wanaoingia nchini humo. 


Taarifa hii imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Hamza Johari.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post