MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM DR HUSSEIN MWINYI AAHIDI KUBORESHA SEKTA YA UTALII

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Mwinyi, amesema ataimarisha sekta ya utalii ili vijana wapate ajira na kuongeza pato la taifa.


Alisema ataboresha maisha ya wajasiriamali, wafanyabiashara wadogo wakiwamo waendesha bodaboda.


Dk. Mwinyi alitoa ahadi hiyo jana katika mkutano wa hadhara uliofanyika Nungwi, Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Aliwataka wananchi kumchagua yeye pamoja na wagombea wote wa CCM, ili kuendeleza kuwaletea naendeleo.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post