MAELFU WAJITOKEZA KUMSIKILIZA MGOMBEA URAIS WA CCM JPM AKIUNGURUMA MJINI CHATO MKOA WA GEITA LEO

Maelfu ya wananchi wakiwa katika Uwanja wa Mazaina mjini Chato mkoani Geita kumsikiliza mgombea wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika
mkutano wa hadhara wa kampeni leo Jumatatu Septemba 14, 2020
Mgombea wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimvisha kofia ya CCM msanii Rajabu Abdul Kahali maarufu kama Harmonize baada ya kutumbuiza kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa  Mazaina leo Jumatatu Septemba 14, 2020

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527