Serikali ya Kenya imetoa orodha ya Nchi 147 ambazo Raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila kukaa karantini ambapo kwenye orodha hiyo, Tanzania imetajwa miongoni mwa Nchi hizo ambazo zinafika 147
Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527