AUMWA NA NYOKA SEHEMU ZAKE ZA SIRI AKI - CHAT CHOONI | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, September 9, 2020

AUMWA NA NYOKA SEHEMU ZAKE ZA SIRI AKI - CHAT CHOONI

  Malunde       Wednesday, September 9, 2020

Muonekano eneo la tukio

Kijana Siraphop Masukarat mwenye umri wa miaka 18 kutoka Thailand amejikuta katika hali mbaya baada ya kuumwa nyeti zake na nyoka akiwa msalani. 

Siraphop Masukarat alikuwa ameketi msalani/chooni huku akitazama video kwenye simu yake Jumanne, Septemba 8,2020 wakati alipohisi uchungu katika nyeti zake na kukimbizwa hospitalini ambapo madaktari walipendekeza ashonwe katika nyeti zake.

 Akizingumza na Daily Mail, Siraphot alisema aligundua ameumwa na nyoka huyo baada ya kumuona akiinua kichwa chake.

 "Nilikuwa najisaidia wakati ghafla nilianza kuhisi uchungu kwenye nyeti zangu. Ghafla nilimuona nyoka akiinua kichwa chake. Nilianza kutokwa na damu," alisimulia. 

Aidha kidonda hicho kilitibiwa na dawa za antibiotic ili kuosha na kuua viini na sumu ya nyoka huyo. 

Mamake aliwaarifu wataalam wa masuala ya wanyama waliowasili kwa haraka ili kuyaokoa misha ya kijana huyo aliyekuwa akihisi maumivu makali.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post