Angalia picha : MGOMBEA URAIS TANZANIA DKT. MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA MAELFU YA WANACHI SIMIYU

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa jukwaa kuu na watoto wenye ulemavu wa ngozi waliohudhuria Mkutano wake wa hadhara wa kampeni mjini Bariadi mkoa wa Simiyu leo Ijumaa Septemba 4, 2020.
PICHA NA IKULU
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akicheza jukwaani na vijana wenye ulemavu wa ngozi wakati wa Mkutano wake wa hadhara wa kampeni mjini Bariadi Mkoa wa Simiyu leo Ijumaa Septemba 4, 2020
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Watoto wenye Ulemavu wa Ngozi mara baada ya kuwasili Bariadi mkoani Simyu.

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni
 Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa jukwaa kuu na vijana wenye ulkemavu wa ngozi waliohudhuria Mkutano wake wa hadhara wa kampeni mjini Bariadi mkoa wa Simiyu leo Ijumaa Septemba 4, 2020
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Bariadi katika mkutano wa Kampeni za Urais kwa upande wa CCM zilizofanyika katika uwanja wa Bariadi mkoani Simiyu

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika Mkutano wake wa hadhara wa kampeni mjini Bariadi mkoa wa Simiyu leo Ijumaa Septemba 4, 2020
Maelfu ya wananchi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Chama
Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipowahutubia katika Mkutano wake wa hadhara wa kampeni mjini Bariadi mkoa wa Simiyu leo Ijumaa Septemba 4, 2020

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527