Angalia picha : MAELFU WAFURIKA CCM KIRUMBA - MWANZA MAGUFULI AKIZINDUA KAMPENI... AMVALISHA KOFIA DIAMOND PLATNUMZ

Sehemu ya Wananchi waliohudhuria Mkutano wa Kampeni za Urais za Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo tarehe 7 Septemba 2020

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi CCM katika shamrashamra za Kampeni za Urais za CCM zilizofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. 

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha kofia Msanii wa Bongo Flavor Nasib Abdul Diamond ambaye alikuwa akitumbuiza katika Mkutano ya Kampeni ya Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo tarehe 7 Septemba, 2020 jijini Mwanza

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wananchi waliofurika katika uwanja wa CCM Kirumba katika Mkutano ya Kampeni ya Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo tarehe 7 Septemba, 2020 jijini Mwanza

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa
Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Jumatatu Septemba 7, 2020

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wananchi waliofurika katika uwanja wa CCM Kirumba katika Mkutano ya Kampeni ya Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo tarehe 7 Septemba, 2020 jijini Mwanza

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wananchi waliofurika katika uwanja wa CCM Kirumba katika Mkutano ya Kampeni ya Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo tarehe 7 Septemba, 2020 jijini Mwanza

Wagombea nafasi za Udiwani katika mkoa wa Mwanza wakisalimia kwa push-up na nyimbo za hamasa Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mbele ya maelfu kwa maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Jumatatu Septemba 7,2020
Sehemu ya umati wa maelfu kwa maelfu ya wananchi uliojitokeza kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Jumatatu Septemba 7, 2020

Sehemu ya Wananchi waliohudhuria katika Mkutano ya Kampeni ya Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo tarehe 7 Septemba, 2020 jijini Mwanza kumsikiliza mgombea wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono maelfu ya wananchi waliofurika katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mara baada ya kuwahutubia leo tarehe 7 Septemba, 2020

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527