
NEC imemteua John Shibuda kuwa mgombea wa Urais wa Tanzania na Hassan Kijogoo kuwa mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais wa Chama cha ADA-TADEA.
Zoezi hilo limefanywa na Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwenye ofisi za NEC Dodoma
"