YEREMIA KULWA MAGANJA ACHUKUA FOMU NEC KUGOMBEA URAIS TANZANIA KUPITIA NCCR MAGEUZI,

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage amekabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha NCCR MAGEUZI, Yeremia Kulwa Maganja aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Haji Ambar Khamis katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 11, 2020. 



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527