Patrobas Katambi
Kikao Cha Halmashauri Kuu Kuu Ya CCM Taifa (NEC) kimewapitisha wafuatao Kugombea Ubunge Majimbo Mkoa wa Shinyanga kwenye uchaguzi Mkuu 2020.
1. Patrobas Katambi - Shinyanga Mjini
2. Boniphace Nyangindu Butondo - Kishapu
3. Idd Kassim- Msalala
4.Elias Kwandikwa - Ushetu
5. Jumanne Kishimba - Kahama Mjini
6.Ahmed Salum - Solwa
Soma pia : STEPHEN MASELE ASHINDA KWA KISHINDO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA SHINYANGA MJINI
Soma pia : STEPHEN MASELE ASHINDA KWA KISHINDO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA SHINYANGA MJINI
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako