KAULI YA MAKONDA BAADA YA KUKOSA NAFASI YA UBUNGE KIGAMBONI


Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi imetangaza wateule wa nafasi za Ubunge kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 huku jina la Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda likikatwa.



Muda mchache baada ya zoezi hilo kumalizika  Makonda  ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa hata kama maombi yake hayajajibiwa, atabaki kumwamini Mungu wake

“Nina mwabudu Mungu aliye hai. Hata asipo jibu sawa na maombi yangu, bado atabaki kuwa Mungu wangu”- Paul Makonda


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527