WAZIRI ANGELLAH KAIRUKI ATEMBELEA BANDA LA TIGO MAONESHO YA NANENANE SIMIYU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu/Uwekezaji Mh. Angellah Kairuki, pamoja na Waziri wa kilimo, Mh. Japhet Hasunga watembelea maonesho ya #TigoNanenane2020 na kujionea bidhaa na huduma kutoka Tigo.Ambapo katika msimu huu kuna punguzo la bei ya simu zikiwa na Internet BURE mwaka mzima ili kuleta maendeleo kwa wakulima, wavuvi na wafugaji. Tembelea katika viwanja mbalimbali ili kujipatia huduma na bidhaa za Tigo.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post