DAVID SILINDE ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA TUNDUMA


Mgombea Ubunge Jimbo la Tunduma David Silinde leo Ijumaa Agosti 21,2020 amechukua Fomu Kugombea Ubunge Jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu 2020. Kulia ni msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Tunduma Regina Bieda akimkabidhi Fomu ya Kugombea Ubunge David Silinde 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post