Mgombea wa nafasi ya ubunge jimbo la Ilemela ambae pia alikuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt. Angeline Mabula leo Ijumaa Agosti 21,2020 amechukua fomu ya kugombea tena nafasi hiyo kwa msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Ilemela Ndugu John Wanga.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako