AHMED SALUM ACHUKUA FOMU KUGOMBEA TENA JIMBO LA SOLWA | MALUNDE 1 BLOG

Friday, August 21, 2020

AHMED SALUM ACHUKUA FOMU KUGOMBEA TENA JIMBO LA SOLWA

  Malunde       Friday, August 21, 2020

Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Solwa mkoani Shinyanga, Hoja Mahiba (kushoto), akimkabidhi fomu za uteuzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ahmed Salum ya kugombea ubunge jimbo la Solwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu.
Ahmed Salum akionyesha fomu ya tume ya taifa ya uchaguzi (Nec) ya kugombea ubunge jimbo la Solwa kupitia chama cha mapinduzi CCM Kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28, mwaka huu. 

Picha na Marco Maduhu
Via Shinyanga Press Club Blog
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post