MWENYEKITI WA CHAMA CHA WANANCHI (CUF), PROFESA IBRAHIM LIPUMBA AMSIMAMISHA NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR | MALUNDE 1 BLOG

Saturday, July 4, 2020

MWENYEKITI WA CHAMA CHA WANANCHI (CUF), PROFESA IBRAHIM LIPUMBA AMSIMAMISHA NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR

  Malunde       Saturday, July 4, 2020

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba  amemsimamisha Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar, Faki Suleiman Khatib kwa alichokidai ni kuimarisha kamati tendaji ya chama hicho.

Taarifa ya CUF kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo Julai 4,2020 imesema hatua hiyo ni katika kutekeleza agizo la Baraza Kuu la kuondoa Mapungufu na Kuimarisha Kamati Tendaji.

Nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Zanzibar itajazwa na Baraza Kuu la Uongozi la Taifa linalotarajiwa kuketi mwishoni mwa mwezi huu.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post