Maalim Seif Sharif Hamad Arudisha Fomu ya Kugombea Urais Zanzibar

Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad leo amerudisha fomu kwenye ofisi za chama zilizopo Vuga Zanzibar yakuomba dhamana ya chama ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais Zanzibar kwenye Uchaguzi wa Oktoba 2020.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post