Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM umepitisha majina matatu ya wagombea Urais wa Zanzibar, ambao ni ;
1.Dk Khalid Salim Mohamed,
2. Dkt Hussein Ali Mwinyi na
3. Shamsi Vuai Nahodha.
Wagombea walikuwa 31, Lakini waliopitishwa Tano bora Urais Zanzibar walikuwa ;
1.Prof. Makame Mbarawa
2.Dkt.Khalid Salum Mohamed
3.Shamsi Vuai Nahodha
4.Dkt.Hussein Mwinyi
5.Khamis Musa Omar
Mkutano bado unaendelea ambapo litapendekezwa jina moja kati ya hayo matatu. Endelea kuwa nasi
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako