ASKOFU GWAJIMA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAWE KUPITIA CCM | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, July 14, 2020

ASKOFU GWAJIMA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAWE KUPITIA CCM

  Malunde       Tuesday, July 14, 2020

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. Jimbo hilo lilikuwa linaongozwa na Halima Mdee (Chadema).“Kwa sasa itoshe tu kwamba nimechukua fomu,” amesema Askofu Gwajima muda mfupi baada ya kuchukua fomu.

Kwenye foleni hiyo, alikuwemo Abbas Tarimba, aliyekuwa kiongozi katika Timu ya Mpira ya Yanga na Diwani wa Kata ya Hananasifu ambaye anaomba ridhaa ya kugombea Jimbo la Kinondoni.

Mbunge anayemaliza muda wake kwenye jimbo hilo ni, Maulid Mtulia wa CCM. Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post