ZITTO KABWE, MBUNGE BWEGE WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI KILWA


Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi limemkamata Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe.

Zitto Kabwe amekamatwa Leo Jumanne June 23, 2020 akiwa kwenye mkutano wa ndani wa kupokea madiwani 8 waliojiunga na chama hicho kutokea CUF katika Jimbo la Kilwa Kusini.

Taarifa iliyotolewa na Chama hicho imeeleza kuwa wengine waliokamatwa ni Mbunge wa Kilwa Kusini, Seleman Bungara Maarufu kwa jina la 'Bwege' pamoja na Katibu wa Oganaizesheni ya Chama hicho

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527