WABUNGE WATATU WA VITI MAALUM CHADEMA WAJIUNGA CCM


Wabunge watatu wa Viti Maalumu Kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo -CHADEMA  wametangaza kuachana na chama hicho na kuomba kujiunga na CCM.

Wabunge hao wametangaza uamuzi huo leo Jumatatu June 15, 2020 ndani ya Bunge Jijini Dodoma

Wabunge hao ni Dkt. Immaculate Sware Semesi, Anna Gidarya na Latifa Chande


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post