FREEMAN MBOWE AKIWA AMELAZWA BAADA YA KUSHAMBULIWA NA KUVUNJWA MGUU DODOMA


Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiwa amelazwa katika hospitali ya DCMCT Ntyuka mkoani Dodoma kwa matibabu baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa mguu.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post