WENYE VIRUSI VYA CORONA UGANDA WAFIKA 89


Wizara ya Afya Uganda imesema kuna ongezeko la mgonjwa mmoja wa corona na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 89.



Waliopona corona Uganda ni Watu 52 na hakuna kifo

Rais  wa nchi hiyo Yoweri Museveni leo jioni atalihutubia Taifa hilo kuhusu hatua zaidi baada ya siku 21 za lock down kukamilika kesho.




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post