WAZIRI NDALICHAKO: "MITIHANI YA KIDATO CHA SITA ITAANZA RASMI TAREHE 29 JUNI, 2020" | MALUNDE 1 BLOG

Friday, May 22, 2020

WAZIRI NDALICHAKO: "MITIHANI YA KIDATO CHA SITA ITAANZA RASMI TAREHE 29 JUNI, 2020"

  Malunde       Friday, May 22, 2020

Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichako amesema, Mitihani ya Kidato cha 6 itaanza Juni 29, na kumalizika Julai 16, 2020, na mitihani hiyo itaenda sambamba na ile ya Ualimu na kulitaka Baraza la Mitihani kuhakikisha wanasambaza ratiba inayoonesha mitihani itakavyofanyika.


==>>Msikilize hapo chini


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post