WAGONJWA WA CORONA UGANDA WAFIKA 160 | MALUNDE 1 BLOG

Friday, May 15, 2020

WAGONJWA WA CORONA UGANDA WAFIKA 160

  Malunde       Friday, May 15, 2020
Uganda imethibitisha wagonjwa wapya 21 wa homa ya COVID19 na kufanya idadi ya maambukizi kuwa 160.

21 hao wamebainika baada ya kufanyika vipimo kwa sampuli 1593 za madereva katika mipaka ya Mtukula ,Busia ,Malaba na Elegu.

Wizara ya Afya nchini humo imesema, kati ya hao Wakenya ni 08, Waganda ni 05, Watanzania ni 07 na Mmoja ni Raia wa SudaniUsikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post