TRUMP KASEMA HATAKI KUZUNGUMZA NA RAIS WA CHINA....VIFO VYA CORONA MAREKANI VIMEFIKA 86,912 | MALUNDE 1 BLOG

Friday, May 15, 2020

TRUMP KASEMA HATAKI KUZUNGUMZA NA RAIS WA CHINA....VIFO VYA CORONA MAREKANI VIMEFIKA 86,912

  Malunde       Friday, May 15, 2020

UHUSIANO kati ya Marekani  na China umeendelea kuzorota kwa kasi  tangu kuanza kwa jana la Corona lililoua maelfu ya Raia wa Marekani

Jana Mei 14, 2020 , Rais wa Marekani Donald Trump  alisema kwa sasa hana mpango na hataki  kuzungumza na Rais Xi Jinping wa China  na akaenda mbali zaidi na  kusema anafikiria kusitisha uhusiano na taifa hilo la pili kwa nguvu za uchumi duniani. 

Akizungumza na kituo cha televisheni cha Fox, hapo Jana, Trump alisema amesononeshwa sana na kitendo cha China kushindwa kulidhibiti janga la corona. 

Takwimu zinaonesha Marekani imeathiriwa vibaya zaidi na virusi vya corona  kuliko nchi nyingine yoyote Duniani.


Kwa takwimu za leo asubuhi, Maambukizi  ya Virusi vya Corona  nchini humo yamefika 1,457,593, waliopona ni 318,027 tu na vifo vimefika 86,912


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post