Tanzia : MWENYEKITI WA SOKA LA WANAWAKE MKOA WA DAR ES SALAAM DKT. MANENO TAMBA AFARIKI DUNIA
Friday, May 01, 2020
Mwenyekiti wa Soka la Wanawake Mkoa wa Dar es Salaam na mmiliki wa timu ya soka ya wanawake ya Mburahati Queens, Dkt. Maneno Tamba amefariki dunia leo mchana.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin