RAIS MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIOWATEUA...ATANGAZA KUFUNGUA VYUO, KIDATO CHA SITA NA MICHEZO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 21 2020 anawaapisha Viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni.Viongozi walioapishwa ni


1. Dkt. Godwin Oloyce Mollel kuwa Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake Wazee na Watoto.

2. Dkt. Delphine Diocles Magere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani.

3. Dkt. Jacob Gideon Kingu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Algeria

4. Balozi Mteule Phaustine Martin Kasike kuwa Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji

5. Balozi Mteule John Stephen Simbachawene kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya

6. Brig. Gen. John Julius Mbungo kuwa Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU.

Hafla imefanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post