IRAN YAWAUA WANAJESHI WAKE KIMAKOSA KATIKA JARIBIO LA KOMBORA JIPYA | MALUNDE 1 BLOG

Monday, May 11, 2020

IRAN YAWAUA WANAJESHI WAKE KIMAKOSA KATIKA JARIBIO LA KOMBORA JIPYA

  Malunde       Monday, May 11, 2020

Wanamaji 19 wameuawa na wengine 15 wakajeruhiwa katika tukio la ajali lililohusisha meli za kijeshi za Iran katika Ghuba ya Oman , jeshi la Iran limesema.

Vyombo vya habari vya Iran vimesema kwamba meli hiyo kwa jina Konarak ilishambuliwa na kombora jipya lililokuwa likijaribiwa na meli ya kijeshi ya Frigate Jamaran wakati wa zoezi la kijeshi siku ya Jumapili.

The Konarak ilishambuliwa na kombpora jipya Jumapili mchana wakati wa zoezi la kijeshi katika maji ya Bandar-e Jask kusini mwa pwani kulingana na runinga ya taifa katika tovuti yake.

Wanamaji hao walisema kwamba meli hiyo ilivutwa hadi ufukweni na kwamba uchunguzi umeanza.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post