WAGONJWA WA CORONA NCHINI KENYA WAFIKA 216....NI BAADA YA WENGINE 8 KUONGEZEKA LEO
Tuesday, April 14, 2020
Idadi ya waathirika wa Virusi vya Corona nchini Kenya imeongezeka na kufikia 216, baada ya hii leo kuthibitisha visa vipya nane, ambapo watano ni raia wa Kenya na watatu ni raia kutoka Mataifa mengine.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin