Tanzia: ALIYEWAHI KUWA MBUNGE WA MAFIA, ABDULKARIM SHAH(BURJI) AFARIKI DUNIA | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, April 26, 2020

Tanzia: ALIYEWAHI KUWA MBUNGE WA MAFIA, ABDULKARIM SHAH(BURJI) AFARIKI DUNIA

  Malunde       Sunday, April 26, 2020

Aliyewahi kuwa mbunge wa Jimbo la Mafia (2005-2015), Abdulkarim Shah (59) amefariki dunia akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Hindu Mandal, jijini Dar as Salaam.

Akiwa mbunge, Shah alipata kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii na pia alikuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi ya Bunge.

Marehemu Abdulkarim Shah atazikwa leo Aprili 26, 2020 sasubuhi katika makaburi ya Kisutu jijini Dar


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post