Picha: MGONJWA AKIWAHISHWA HOSPITALI BAADA YA USAFIRI WA UMMA KUPIGWA MARUFUKU KWA HOFU YA CORONA UGANDA


Mwanaume mmoja akiwa anasukuma usafiri wa asili ili kumuwaisha Hospitali mgonjwa katika Manispaa ya Arua, Uganda.


 Mwanamke  huyo mgonjwa hakuweza kupata Bodaboda au usafiri mwingine  kufuatia usafiri wa umma kupigwa marufuku na Rais Museveni ili kuzuia corona kusambaa.

Credit/ Picha: Daily Monitor 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post