RC MBEYA ATOA AMRI BAA ZOTE ZIFUNGWE SAA TATU USIKU ILI KUKABILIANA NA CORONA | MALUNDE 1 BLOG

Saturday, April 18, 2020

RC MBEYA ATOA AMRI BAA ZOTE ZIFUNGWE SAA TATU USIKU ILI KUKABILIANA NA CORONA

  Malunde       Saturday, April 18, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ametoa amri kwa wamiliki wa maeneo yote yanayouzwa pombe (Bar) kufunga biashara zao kila ifikapo saa tatu kamili usiku kuanzia jumatatu  kwa lengo la kuepusha misongamano inayoweza kusababisha watu kuambukizana corona. 


Ametoa agizo hilo jana April 17, 2020 baada ya kutembelea bar kadhaa na kukuta watu wakiwa kwenye misongamono iliyopigwa marufuku


"Walevi wanaoanza kunywa pombe kuanzia saa tatu kwenda mbele huwa hawana utambuzi wa kuachiana nafasi na kwa mantiki hiyo hupiga story na kushikashikana" -Alisema


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post